sw_tn/rom/15/03.md

12 lines
336 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Matusi ya wale waliokutukana yamenipata mimi
"Matusi ya wale waliomtukana Mungu yamempata Kristo pia"
# Kwa chochote kilichotangulia kuandikwa, kiliandikwa kwa kutuelekeza
"Kila kitu kilichoandikwa katika maandiko wakati uliopita kiliandikwa kutujulisha sisi"
# yetu...sisi
Paulo anawaunganisha wasomaji wake na waumini wengine.