# Matusi ya wale waliokutukana yamenipata mimi "Matusi ya wale waliomtukana Mungu yamempata Kristo pia" # Kwa chochote kilichotangulia kuandikwa, kiliandikwa kwa kutuelekeza "Kila kitu kilichoandikwa katika maandiko wakati uliopita kiliandikwa kutujulisha sisi" # yetu...sisi Paulo anawaunganisha wasomaji wake na waumini wengine.