sw_tn/rom/14/01.md

16 lines
524 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo anawatia moyo waamini kukumbuka kuwa wana wajibika kwa mungu.
# Wadhaifu katika imani
Hii inamaanisha wale ambao waliona hatia juu ya kula na kunywa vitu kadha wa kadha.
# Bila kutoa hukumu kwa maswali hayo
"Na msiwalaumu kutokana na maoni yao"
# Kwa upande mmoja, mtu mmoja anaimani kula chochote, bali kwa upande mwingine
Sentensi "Kwa upande mmoja" na "kwa upande mwingine" inatambulisha njia mbili tofauti za kuwaza juu ya kitu fulani. " Mtu mmoja ana imani kula kitu chochote lakini"