# Sentensi unganishi Paulo anawatia moyo waamini kukumbuka kuwa wana wajibika kwa mungu. # Wadhaifu katika imani Hii inamaanisha wale ambao waliona hatia juu ya kula na kunywa vitu kadha wa kadha. # Bila kutoa hukumu kwa maswali hayo "Na msiwalaumu kutokana na maoni yao" # Kwa upande mmoja, mtu mmoja anaimani kula chochote, bali kwa upande mwingine Sentensi "Kwa upande mmoja" na "kwa upande mwingine" inatambulisha njia mbili tofauti za kuwaza juu ya kitu fulani. " Mtu mmoja ana imani kula kitu chochote lakini"