sw_tn/rom/12/03.md

16 lines
620 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwa sababu ya neema niliyopewa,
Hapa "neema" inaelezea Mungu alivyomchagua Pulo kuwa Mtume na kiongozi wa kanisa. "Kwa kuwa Mungu alinichagua kuwa Mtume"
# Kwamba kila mtu ambaye yupo miongoni mwenu hapaswi kufikiri zaidi juu yenu wenyewe kuliko mnavyopaswa kufikiri
"Kwamba mtu asifikiri kwamba ni bora zaidi ya watu wengine"
# Badala yake, mnapaswa kufikiri kwa njia ya hekima
"Lakini mnapaswa kuwa na hekimakwa namna mnavyofikiri kuhusu ninyi wenyewe"
# kama ambavyo Mungu amewapa kila mmoja kiasi fulani cha imani.
Ikiwa Mungu amewapa kila mmoja kiasi tofauti cha imani kwamba mnapaswa kufikiri kwa makini"