# kwa sababu ya neema niliyopewa, Hapa "neema" inaelezea Mungu alivyomchagua Pulo kuwa Mtume na kiongozi wa kanisa. "Kwa kuwa Mungu alinichagua kuwa Mtume" # Kwamba kila mtu ambaye yupo miongoni mwenu hapaswi kufikiri zaidi juu yenu wenyewe kuliko mnavyopaswa kufikiri "Kwamba mtu asifikiri kwamba ni bora zaidi ya watu wengine" # Badala yake, mnapaswa kufikiri kwa njia ya hekima "Lakini mnapaswa kuwa na hekimakwa namna mnavyofikiri kuhusu ninyi wenyewe" # kama ambavyo Mungu amewapa kila mmoja kiasi fulani cha imani. Ikiwa Mungu amewapa kila mmoja kiasi tofauti cha imani kwamba mnapaswa kufikiri kwa makini"