sw_tn/rom/11/30.md

12 lines
311 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mlikuwa mmemuasi
"Hamkumtii hapo zamani"
# Ninyi
Hii inamaanisha waamini wa Mataifa, na ni wingi.
# Mungu amewafunga watu wote katika uasi
Hii pia inaweza kumaanisha Mungu anawafanya wasiweze kuacha kumuasi, kama wafungwa walioshindwa kutoroka gerezani. "Mungu amamfanya kila mtu kuwa mfungwa kwa kuasi"