# Mlikuwa mmemuasi "Hamkumtii hapo zamani" # Ninyi Hii inamaanisha waamini wa Mataifa, na ni wingi. # Mungu amewafunga watu wote katika uasi Hii pia inaweza kumaanisha Mungu anawafanya wasiweze kuacha kumuasi, kama wafungwa walioshindwa kutoroka gerezani. "Mungu amamfanya kila mtu kuwa mfungwa kwa kuasi"