sw_tn/rom/11/17.md

20 lines
562 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama wewe, tawi pori la mizeituni
Neno "wewe" na "tawi pori la mizeituni" linaelezea Watu wa Mataifa walikubali wokovu kupitia Yesu.
# Ulipandikizwa kati yao
"Walipachikwa kwenye mti kati ya matawi yaliyobaki"
# Mizizi ya utajiri wa mizeituni
Hii inamaanisha ahadi za Mungu.
# Usijisifu juu ya matawi
"Usisieme kuwa wewe ni bora zaidi ya Wayahudi waliokataliwa na Mungu"
# si wewe ambaye unasaidia mizizi, bali mizizi inakusaidia wewe
Waamini wa Mataifa waliamini kuwa walikombolewa tuu kwa sababu ya agano la ahadi la Mungu lililofanywa kwa Wayahudi