# Kama wewe, tawi pori la mizeituni Neno "wewe" na "tawi pori la mizeituni" linaelezea Watu wa Mataifa walikubali wokovu kupitia Yesu. # Ulipandikizwa kati yao "Walipachikwa kwenye mti kati ya matawi yaliyobaki" # Mizizi ya utajiri wa mizeituni Hii inamaanisha ahadi za Mungu. # Usijisifu juu ya matawi "Usisieme kuwa wewe ni bora zaidi ya Wayahudi waliokataliwa na Mungu" # si wewe ambaye unasaidia mizizi, bali mizizi inakusaidia wewe Waamini wa Mataifa waliamini kuwa walikombolewa tuu kwa sababu ya agano la ahadi la Mungu lililofanywa kwa Wayahudi