sw_tn/rom/11/04.md

20 lines
337 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Lakini ni nini Mungu alijibu akiwaambia?
Paulo anatumia swali hili kuwaleta wasomaji kwenye wazo linalofuata.
# Ni nini jibu la Mungu akiwaambia
"Mungu aliwajibu vipi"
# Yeye
Neno "yeye" linamaanisha Eliya
# Watu elfu saba
"watu 7000"
# Mabaki
Hapa inamaanisha sehemu ndogo ya watu waliochaguliwa na Mungu kupokea neema yake.