# Lakini ni nini Mungu alijibu akiwaambia? Paulo anatumia swali hili kuwaleta wasomaji kwenye wazo linalofuata. # Ni nini jibu la Mungu akiwaambia "Mungu aliwajibu vipi" # Yeye Neno "yeye" linamaanisha Eliya # Watu elfu saba "watu 7000" # Mabaki Hapa inamaanisha sehemu ndogo ya watu waliochaguliwa na Mungu kupokea neema yake.