sw_tn/rom/10/04.md

24 lines
676 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa kuwa Kristo ni hitimisho la sheria
"Kwa kuwa Kristo kwa ukamilifu alitimiliza sheria"
# kwa kuwa haki ipo kwa yoyote ambaye huamini.
"ili kwamba aweze kumfanya kila moja aaminie katika yeye kuwa sawa mbele yake Mungu"
# uamini
Hapa ina maanisha kuamini kitu ni kukubali au kusadiki kuwa ni kweli.
# haki inayo kuja kutokana na sheria
"namna gani sheria humfanya kuwa sawa mbele zake Mungu"
# Mtu ambaye hufanya haki ya sheria ataishi kwa haki hii
"Mtu ambaye kwa ukamilifu utii sheria ataishi kwa sababu sheria itamfanya yeye kuwa sawa mbele ya Mungu"
# ataishi
Hii inaweza kurejea kwa 1) uzima wa milele au 2)maisha ya dunia katika ushirika pamoja na Mungu.