# Kwa kuwa Kristo ni hitimisho la sheria "Kwa kuwa Kristo kwa ukamilifu alitimiliza sheria" # kwa kuwa haki ipo kwa yoyote ambaye huamini. "ili kwamba aweze kumfanya kila moja aaminie katika yeye kuwa sawa mbele yake Mungu" # uamini Hapa ina maanisha kuamini kitu ni kukubali au kusadiki kuwa ni kweli. # haki inayo kuja kutokana na sheria "namna gani sheria humfanya kuwa sawa mbele zake Mungu" # Mtu ambaye hufanya haki ya sheria ataishi kwa haki hii "Mtu ambaye kwa ukamilifu utii sheria ataishi kwa sababu sheria itamfanya yeye kuwa sawa mbele ya Mungu" # ataishi Hii inaweza kurejea kwa 1) uzima wa milele au 2)maisha ya dunia katika ushirika pamoja na Mungu.