sw_tn/rom/09/27.md

24 lines
675 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# hulia
"huita"
# kama mchanga wa bahari
"ni zaidi kuhesabu"
# wataokolewa
Kuokolewa imetumika katika maana ya kiroho. Kama mtu "ameokolewa", ina maanisha kwamba kupitia kuamini kifo cha Yesu pale msalabani, Mungu amekwisha msahehe na kumkomboa yeye kutoka katika kuhukumiwa kwa dhambi yake.
# neno
Hii inarejea kwa kila kitu Mungu alichosema au kuamuru.
# yetu...sisi
Hapa maneno "yetu" na "sisi" urejea kwa Isaya na kuwajumuisha waisraeli
# tungekuwa kama Sodoma, na tumefanywa kama Gomora
Unaweza kufanya kwa uwazi namna waisraeli wangekuwa kama Sodoma na Gomora. Tofasiri mbadala: "tungekuwa wote tumeteketezwa, kama miji ya Sodoma na Gomora ilivyoteketezwa.