# hulia "huita" # kama mchanga wa bahari "ni zaidi kuhesabu" # wataokolewa Kuokolewa imetumika katika maana ya kiroho. Kama mtu "ameokolewa", ina maanisha kwamba kupitia kuamini kifo cha Yesu pale msalabani, Mungu amekwisha msahehe na kumkomboa yeye kutoka katika kuhukumiwa kwa dhambi yake. # neno Hii inarejea kwa kila kitu Mungu alichosema au kuamuru. # yetu...sisi Hapa maneno "yetu" na "sisi" urejea kwa Isaya na kuwajumuisha waisraeli # tungekuwa kama Sodoma, na tumefanywa kama Gomora Unaweza kufanya kwa uwazi namna waisraeli wangekuwa kama Sodoma na Gomora. Tofasiri mbadala: "tungekuwa wote tumeteketezwa, kama miji ya Sodoma na Gomora ilivyoteketezwa.