sw_tn/rom/09/25.md

24 lines
662 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Kaitka sehemu hii Paul anaeleza namna kuto amini kwa waisraeli kama taifa kulisemwa mbele ya wakati na nabii Hosea.
# Kama asemavyo katika Hosea
"Kama Mungu asemavyo pia katika kitabu cha Hosea aliandika"
# Hosea
Hosea alikuwa nabii
# Nitawaita watu wangu ambao hawakuwa watu wangu
" Nitawachagua watu ambao hawakuwa watu wangu kuwa watu wangu"
# mpendwa wake ambaye hakuwa amependwa
"Nitamchagua yeye ambaye siku mpenda kuwa mmoja wa yule ninaye mpenda"
# wana wa Mungu aliye hai
Neno "hai" linaweza kurejea kwa kigezo kwamba Mungu ni pekee wa "kweli", na siyo kama sanamu za uongo. Tofasiri mbadala: "watoto wa Mungu wa kweli"