# Sentensi unganishi: Kaitka sehemu hii Paul anaeleza namna kuto amini kwa waisraeli kama taifa kulisemwa mbele ya wakati na nabii Hosea. # Kama asemavyo katika Hosea "Kama Mungu asemavyo pia katika kitabu cha Hosea aliandika" # Hosea Hosea alikuwa nabii # Nitawaita watu wangu ambao hawakuwa watu wangu " Nitawachagua watu ambao hawakuwa watu wangu kuwa watu wangu" # mpendwa wake ambaye hakuwa amependwa "Nitamchagua yeye ambaye siku mpenda kuwa mmoja wa yule ninaye mpenda" # wana wa Mungu aliye hai Neno "hai" linaweza kurejea kwa kigezo kwamba Mungu ni pekee wa "kweli", na siyo kama sanamu za uongo. Tofasiri mbadala: "watoto wa Mungu wa kweli"