sw_tn/rom/09/14.md

20 lines
627 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Basi tena tutasema nini?
Paulo anatumia swali kusahihisha hitimisho kwamba Mungu si dhalimu.
# La hasha
"Hilo haliwezekani!" au bila shaka!" Usemi hii kwa nguvu hukanusha kwamba hii ingewezekana kufanyika. Unaweza kuwa na usemi wa kufanana katika lugha yako kwamba ungeweza kutumia hapa.
# Kwa kuwa anasema kwa Musa
"Kwa kuwa Mungu anasema kwa Musa"
# Si kwa sababu yeye anataka, wala kwa sababu ya yeye akimbiae
"Si kwa sababu ya wale watu hupenda au kwa sababu wanajaribu kwa nguvu"
# wala si kwa sababu ya yeye akimbiae
Paul anamlinganisha mtu anayekimbia mbio kwa mtu ambaye anajitahidi kwa nguvu kufikia lengo.