# Basi tena tutasema nini? Paulo anatumia swali kusahihisha hitimisho kwamba Mungu si dhalimu. # La hasha "Hilo haliwezekani!" au bila shaka!" Usemi hii kwa nguvu hukanusha kwamba hii ingewezekana kufanyika. Unaweza kuwa na usemi wa kufanana katika lugha yako kwamba ungeweza kutumia hapa. # Kwa kuwa anasema kwa Musa "Kwa kuwa Mungu anasema kwa Musa" # Si kwa sababu yeye anataka, wala kwa sababu ya yeye akimbiae "Si kwa sababu ya wale watu hupenda au kwa sababu wanajaribu kwa nguvu" # wala si kwa sababu ya yeye akimbiae Paul anamlinganisha mtu anayekimbia mbio kwa mtu ambaye anajitahidi kwa nguvu kufikia lengo.