sw_tn/rom/07/11.md

12 lines
310 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa maana dhambi ilichukua nafasi kwa ile amri na kunidanganya mimi. Kupitia ile amri, iliniua mimi.
Paulo anaielezea dhambi kama mtu anayeweza kufanya mambo 3: kuchukua nafasi, kudanganya, na kuua.
# dhambi
"hamu yangu ya kutenda dhambi"
# kuchukua nafasi kupitia amri
tazama ulivyotafasiri hapo awali