sw_tn/rom/03/19.md

20 lines
623 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# chochote Sheria inasema, anaongea na
'Kila kitu ambacho sheria inasema watu lazima kufanya ni kwa' au 'amri yote ambayo Musa aliandika katika sheria ni kwa ajili ya'
# ili kwamba kila kinywa inaweza kuwa kimefungwa
'Hivyo kwamba hakuna mtu anauwezo wa kusema chochote halali kujitetea mwenyewe'
# mwili
Hapa ina maana kwa njia ya mfano kumaanisha binadamu wote au viumbe hai wote.
# kwa
Maana inawezakua ni 1) Kwa sababu hiyo" au 2) "Hii ni kwa sababu" au 3) "Badala."
# kupitia sheria inakuja kutambua dhambi
"Wakati mtu anajua sheria ya Mungu, anatambua kwamba yeye si mwema bali mwenye dhambi mbele za Mungu"