# chochote Sheria inasema, anaongea na 'Kila kitu ambacho sheria inasema watu lazima kufanya ni kwa' au 'amri yote ambayo Musa aliandika katika sheria ni kwa ajili ya' # ili kwamba kila kinywa inaweza kuwa kimefungwa 'Hivyo kwamba hakuna mtu anauwezo wa kusema chochote halali kujitetea mwenyewe' # mwili Hapa ina maana kwa njia ya mfano kumaanisha binadamu wote au viumbe hai wote. # kwa Maana inawezakua ni 1) Kwa sababu hiyo" au 2) "Hii ni kwa sababu" au 3) "Badala." # kupitia sheria inakuja kutambua dhambi "Wakati mtu anajua sheria ya Mungu, anatambua kwamba yeye si mwema bali mwenye dhambi mbele za Mungu"