sw_tn/rom/03/01.md

16 lines
419 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Paulo anatangaza faida walionazo Wayahudi kwa sababu Mungu aliwapa sheria zake.
# Kisha ni faida gani aliyonayo Myahudi? Na ni manufaa gani ya tohara?
"Kisha Wayahudi hawana kufaidika na ahadi ya Mungu, ingawa Mungu aliahidi wangeweza!"
# Ni kubwa
"Kuna faida nyingi"
# Kwanza kabisa
Hii ina maana kwamba ama 1) "Kwanza katika utaratibu wa wakati" au 2) "Amina" (UDB) au 3) "Muhimu zaidi."