# Sentensi unganishi: Paulo anatangaza faida walionazo Wayahudi kwa sababu Mungu aliwapa sheria zake. # Kisha ni faida gani aliyonayo Myahudi? Na ni manufaa gani ya tohara? "Kisha Wayahudi hawana kufaidika na ahadi ya Mungu, ingawa Mungu aliahidi wangeweza!" # Ni kubwa "Kuna faida nyingi" # Kwanza kabisa Hii ina maana kwamba ama 1) "Kwanza katika utaratibu wa wakati" au 2) "Amina" (UDB) au 3) "Muhimu zaidi."