sw_tn/rom/02/13.md

28 lines
720 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Paulo anaendelea kuwafanya wasomaji wajue kwamba kutii sheria za Mungu inatakiwa hata kwa wale ambao hawana sheria za Mungu.
# Kwa
Kama lugha yako ina njia nyingine aya kuelezea kuwa mstari wa 14 na 15 unaingilia mawazo makuu ya Paulo na kumpa msomaji taarifa za ziada. Unaweza ukaiweka 2:14-15 kabla ya 2:13 au baada ya 2:16. "kwa sababu"
# Sio wasikilizaji wa sheria
"Sio tuu kwa wale wasikilizaji wa sheria ya Musa"
# Walio na haki mbele za Mungu
"wale wanaompendeza Mungu"
# lakini ni kwa watendaji wa sheria
"lakini ni kwa wale wanaoitii sheria ya Musa"
# Kina nani watakuwa waadilifu.
"ambao Mungu atawapokea"
# Walio na sheria kwao wenyewe
"Walio na sheria za Mungu ndani mwao"