# Sentensi unganishi: Paulo anaendelea kuwafanya wasomaji wajue kwamba kutii sheria za Mungu inatakiwa hata kwa wale ambao hawana sheria za Mungu. # Kwa Kama lugha yako ina njia nyingine aya kuelezea kuwa mstari wa 14 na 15 unaingilia mawazo makuu ya Paulo na kumpa msomaji taarifa za ziada. Unaweza ukaiweka 2:14-15 kabla ya 2:13 au baada ya 2:16. "kwa sababu" # Sio wasikilizaji wa sheria "Sio tuu kwa wale wasikilizaji wa sheria ya Musa" # Walio na haki mbele za Mungu "wale wanaompendeza Mungu" # lakini ni kwa watendaji wa sheria "lakini ni kwa wale wanaoitii sheria ya Musa" # Kina nani watakuwa waadilifu. "ambao Mungu atawapokea" # Walio na sheria kwao wenyewe "Walio na sheria za Mungu ndani mwao"