sw_tn/rom/01/28.md

16 lines
344 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa sababu hawakuthibitisha kuwa na Mungu katika ufahamu wao
"Hawakufikiri kuwa kulikuwa na umuhimu wa kumjua Mungu"
# Wao...yao...wale
Maneno haya yanamaanisha "binadamu"
# Aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa
Mungu aliruhusu akili zao zijazwe na uasherati na uwatawale"
# sio sahihi
"kudhalilisha" au "isiyo na heshima" au "dhambi"