# Kwa sababu hawakuthibitisha kuwa na Mungu katika ufahamu wao "Hawakufikiri kuwa kulikuwa na umuhimu wa kumjua Mungu" # Wao...yao...wale Maneno haya yanamaanisha "binadamu" # Aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa Mungu aliruhusu akili zao zijazwe na uasherati na uwatawale" # sio sahihi "kudhalilisha" au "isiyo na heshima" au "dhambi"