sw_tn/rom/01/26.md

40 lines
632 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hii
"uzinzi na dhambi ya uasherati"
# Mungu aliwapa ili
"Mungu aliruhusu wajiingize"
# Tamaa ya kufedhehesha
"tamaa za aibu za kimwili"
# Kwa kuwa wanawake wao
"kwa sababu wanawake wao"
# Wanawake wao
wanawake wa "mwanadamu"
# Wakageuza matumizi ya asili kinyume na asili
"Wakaanza kujamiiana kwa njia ambayo Mungu hakuitengeneza"
# Wakaungua kwa tamaa zao
"wakapata tamaa kali za mwili"
# Isivyofaa
"kudhalilisha" au "chafu" au "dhambi"
# Waliopokea adhabu kwa sababu ya upotoshaji wao
"Waliopokea adhabu inayostahili toka kwa Mungu kwa sababu ya upotoshaji wao"
# kupotosha
Tabia ambayo ni mbaya na isiyofaa.