# Hii "uzinzi na dhambi ya uasherati" # Mungu aliwapa ili "Mungu aliruhusu wajiingize" # Tamaa ya kufedhehesha "tamaa za aibu za kimwili" # Kwa kuwa wanawake wao "kwa sababu wanawake wao" # Wanawake wao wanawake wa "mwanadamu" # Wakageuza matumizi ya asili kinyume na asili "Wakaanza kujamiiana kwa njia ambayo Mungu hakuitengeneza" # Wakaungua kwa tamaa zao "wakapata tamaa kali za mwili" # Isivyofaa "kudhalilisha" au "chafu" au "dhambi" # Waliopokea adhabu kwa sababu ya upotoshaji wao "Waliopokea adhabu inayostahili toka kwa Mungu kwa sababu ya upotoshaji wao" # kupotosha Tabia ambayo ni mbaya na isiyofaa.