sw_tn/rom/01/20.md

32 lines
868 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa kuwa
Paulo anaelezea namna ambavyo Mungu alijidhihirisha mwenyewe kwa wanabamu
# Mambo yake yasiyoonekana yameonekana wazi
"mambo yasiyoonekana" ni mambo yasiyoonekana kwa macho. Yamekuwa "yameonekana wazi" kwa sababu watu wameelewa kuwa wako pale japokuwa hawawezi kuona kwa macho yao.
# Ulimwengu
Hii inamaanisha mbingu na dunia, pamoja na vyote vilivyomo.
# Asili ya Mungu
"Ubora na tabia za Mungu" au "mambo ya Mungu yanayomfanya awe Mungu"
# Wanaelewe kupitia vitu vilivyoumbwa
"watu wanaweza kuelewa kuhusu Mungu kwa kuangalia vitu alivyovifanya"
# Watu hawa hawatakuwa na udhuru
"Watu hawa hawatasema kuwa hawakujua"
# Wakawa wajinga kwenye mawazo yao
"wakaanza kuwaza mambo ya kijinga"
# Mioyo yao isiyo na hisia ilikuwa na giza
Maelezo haya yanaonyesha moyo uliokuwa na giza ikimaanisha wamekosa uelewa. "mioyo yao haiwezi tena kuelewa"