sw_tn/rev/19/03.md

32 lines
713 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# walisema
Hapa waliosema ni umati wa watu mbinguni.
# Haleluya
Neno hili linamaana "Msifu Mungu" au "Tumsifu Mungu."
# Moshi hutoka kwake
Huu udondoshaji wa maneno. Unaweze kujumuisha maneno yaliyokosekana ambayo yameonyeshwa bila kutajwa. "Moshi wa moto unaowaka katika mji utainuka"
# hutoka kwake milele na milele
"kutoka kwa waabudu sanamu milele na milele" au "kwa wale walioshiriki kwenye ukahaba watateseka milele"
# hutoka kwake
Hapa anayezungumziwa ni Babeli.
# wazee ishirini na wanne
2021-09-10 19:26:55 +00:00
wazee wanne -"wazee 24"
2018-04-12 01:01:04 +00:00
# viumbe hai wanne
"viumbe wanne wenye uhai" au "vitu vinne vyenye uhai"
# akaaye kwenye kiti cha enzi
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "aliyeketi kwenye kiti cha enzi"