# walisema Hapa waliosema ni umati wa watu mbinguni. # Haleluya Neno hili linamaana "Msifu Mungu" au "Tumsifu Mungu." # Moshi hutoka kwake Huu udondoshaji wa maneno. Unaweze kujumuisha maneno yaliyokosekana ambayo yameonyeshwa bila kutajwa. "Moshi wa moto unaowaka katika mji utainuka" # hutoka kwake milele na milele "kutoka kwa waabudu sanamu milele na milele" au "kwa wale walioshiriki kwenye ukahaba watateseka milele" # hutoka kwake Hapa anayezungumziwa ni Babeli. # wazee ishirini na wanne wazee wanne -"wazee 24" # viumbe hai wanne "viumbe wanne wenye uhai" au "vitu vinne vyenye uhai" # akaaye kwenye kiti cha enzi Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "aliyeketi kwenye kiti cha enzi"