Sura hii ni hitimisho la sehemu kubwa ya kitabu cha Ufunuo ambayo inamalizia kipindi cha hasira ya Mungu ama hukumu kubwa inaletwa na Mungu. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/judge]])
Maelezo haya yamefanya wasomi wengine kuamini kwamba hekalu la Wayahudi lilikuwa na mandhari ya mbinguni. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/heaven]] na [[rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])
Sura hii inafunua hukumu zinazoitwa hukumu za mabakuli saba. Hukumu hizi zimepewa taswira kama zile ambazo zinamwagwa inje kuashiria haraka na ujumla wa hizo hukumu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
Hili ni neno la Kiebrania na linatumika kama jina la mahali. Yohana anatafsiri herufi za neno hili kwa kuziandika kwa herufi za Kigriki. Watafsiri wanashauriwa kulitafsiri kutumia herufi za lugha kusudiwa.