sw_tn/rev/16/10.md

16 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# akamwaga kutoka kwenye bakuli lake
Neno "bakuli" linamaanisha kile kilichomo. "kumwagwa divai kutoka katika bakuli lake" au " kumwaga ghadhabu ya Mungu kutoka katika bakuli lake"
# kiti cha enzi cha mnyama
Hapa ndipo mnyama anapotawalia. Inaweza kumaanisha mji mkuu wa ufalme wake.
# giza likaufunika ufalme wake
Giza linazungumziwa kama vile ni kitu kama blangeti. "ikawa giza katika ufalme wake wote" au " ufalme wake wote ukawa giza"
# Walisaga ... Wakamtukana
Hapa inamaanisha watu katika ufalme wa mnyama.