sw_tn/rev/11/01.md

24 lines
533 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Yohana anaanza kueleza maono kuhusu fimbo ya kupimia na mashahidi wawili walioteuliwa na Mungu. Maono yalichukua nafasi kati ya kupulizwa kwa tarumbeta ya sita na tarumbeta ya saba.
# Nilipewa mwanzi
"Mtu alinipa mwanzi"
# Nilipewa ... Niliambiwa
Aliyepewa na aliyeambiwa anamaanishwa ni Yohana.
# na wale wanaoabudu ndani yake
"na hesabu wale wanaoabudu ndani ya hekalu"
# Wataukanyaga
kukifanya kitu kama vile hakina dhamani kwa kutembea juu yake.
# iezi arobaini na miwili
2021-09-10 19:26:55 +00:00
miezi miwili - "miezi 42"