Katika kitabu kilichofungwa na mihuri kimeandikwa ujumbe uliofichwa ambao unangojelewa kusomwa. Kitabu hiki kinaweza kusomwa tu na mtu aliye na mamlaka ya kukifungua.
Labda maneno haya yanaashiria viongozi wa kanisa lakini utambulisho ya wazee ishirini na wanne sio na hakika. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])
Maana halisi ya maneno haya haiko wazi. Kuna uwezekano kama ni mfano inayoashiria Roho Mtakatifu na nambari saba ikiashiria "ukamilifu." Kuna uwezekano kwamba pia si mfano, lakini inaashiria roho saba zinazozunguka kiti cha enzi cha Mungu.
"Simba wa kabila la Yuda" na "mzizi wa Daudi" inaashiria Yesu. Hizi ni mifano inayotumika kama vyeo vya Yesu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] na [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])