sw_tn/rev/03/09.md

40 lines
842 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sinagogi la Shetani
Watu wanaokusanyika kumtii au kumtukuza Shetani wanazungumziwa kama sinagogi, mahali pa wayahudi pa kuabudu na kufundishia.
# kusujudu
Hii ni ishara ya unyenyekevu, sio kuabudu. "Sujudu kwa unyenyekevu"
# mbele ya miguu yako
"mbele yako"
# watajua
"watajifunza" au "watakiri"
# nitakulinda pia katika saa ya kujaribiwa
"nitakutunza pia katika saa ya kujaribiwa"
# saa ya kujaribiwa
"muda wa kujaribiwa." Hii inaweza kumaanisha "wakati ambapo watu watajaribu kukufanya usinitii.
# inakuja
Iliyo siku za usoni inazungumziwa kama ijayo.
# Naja upesi
Inaeleweka kuwa anakuja ili ahukumu. "Ninakuja kuhukumu hivi punde"
# Shikilia sana
"Endelea kuamini"
# taji
Taji ilikua ni shada ambalo asili yake ilikua ya matawi ya mizeituni au majani ya laurusi ambayo yaliweka kwenye kichwa cha mwanariadha mshindi.