sw_tn/rev/03/07.md

24 lines
557 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Huu ni mwanzo wa ujumbe wa Mwana wa Adamu kwa malaika wa kanisa la Filadefia.
# ufunguo wa Daudi
Yesu anazungumzia mamlaka yake kuamua nani aingie katika ufalme wake kama vile ni ufunguo wa Mfalme Daudi.
# hufungua na hakuna afungaye
"anafungua mlango wa ufalme na hakuna awezaye kuufunga.
# hufunga na hakuna awezaye kufungua
"hufunga mlango na hakuna awezaye kuufungua"
# nimekuwekea mbele yako mlango uliofunguliwa
"Nimekufungulia mlango"
# jina langu
neno "jina" mara nyingi hutumika kuonesha mtu mwenye hilo jina. "mimi"