# Taarifa ya Jumla: Huu ni mwanzo wa ujumbe wa Mwana wa Adamu kwa malaika wa kanisa la Filadefia. # ufunguo wa Daudi Yesu anazungumzia mamlaka yake kuamua nani aingie katika ufalme wake kama vile ni ufunguo wa Mfalme Daudi. # hufungua na hakuna afungaye "anafungua mlango wa ufalme na hakuna awezaye kuufunga. # hufunga na hakuna awezaye kufungua "hufunga mlango na hakuna awezaye kuufungua" # nimekuwekea mbele yako mlango uliofunguliwa "Nimekufungulia mlango" # jina langu neno "jina" mara nyingi hutumika kuonesha mtu mwenye hilo jina. "mimi"