sw_tn/rev/03/03.md

28 lines
762 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# yale uliyoyapokea na kusikia
Hii humaanisha neno la Mungu ambalo waliamini. "neno la Mungu mlilosikia na ukweli mlioamini"
# usipoamka
Kuwa makina na hatari huzungumziwa kama kuamka. "Kuwa makini" au "Kuwa mwangalifu."
# nitakuja kama mwivi
Yesu atakuja wakati watu hawatarajii kama vile mwizi ajavyo asipotarajiwa.
# majina machache ya watu
Hii humaanisha watu wenyewe. "watu wachache"
# hawakuchafua nguo zao
Yesu anazungumzia dhambi katika maisha ya mtu kama vile ni nguo chafu. "hawajafanya maisha yao yawe yenye dhambi kama nguo chafu"
# Watatembea pamoja nami
Watu kawaida walizungumzia kuishi kama "kutembea."
# wamevaa nguo nyeupe
Nguo nyeupe huashiria maisha masafi bila dhambi. "na watavikwa nguo nyeupe ambayo inaonesha waso ni wasafi"