sw_tn/psa/089/015.md

20 lines
562 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanao kuabudu
Hapa neno "kuabudu" inaashiria kupiga kelele na kupuliza pembe. Haya yalikuwa matendo ya kawaida wa kuabudu wakati wa sikukuu za Waisraeli.
# wanatembea
Hapa watu kuishi maisha yao inazungumziwa kana kwamba wanatembea.
# katika mwanga wa uso wako
Mwandishi anazumzungumzia Yahwe kuwatendea fadhila kana kwamba uso wa Yahwe ulimulika mwanga kwao. "wakijua kuwa unawatendea fadhila"
# katika jina lako
Hapa "jina" linamwakilisha mtu. "katika wewe"
# katika haki yako wanakutukuza
"wanakutukuza kwa sababu daima huwa unafanya kilicho sawa"