# wanao kuabudu Hapa neno "kuabudu" inaashiria kupiga kelele na kupuliza pembe. Haya yalikuwa matendo ya kawaida wa kuabudu wakati wa sikukuu za Waisraeli. # wanatembea Hapa watu kuishi maisha yao inazungumziwa kana kwamba wanatembea. # katika mwanga wa uso wako Mwandishi anazumzungumzia Yahwe kuwatendea fadhila kana kwamba uso wa Yahwe ulimulika mwanga kwao. "wakijua kuwa unawatendea fadhila" # katika jina lako Hapa "jina" linamwakilisha mtu. "katika wewe" # katika haki yako wanakutukuza "wanakutukuza kwa sababu daima huwa unafanya kilicho sawa"