sw_tn/php/03/intro.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Wafilipi 03 Maelezo kwa ujumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na Mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Katika mistari 4-7, Paulo anaorodhesha jinsi anavyostahili kuitwa Myahudi mwenye haki. Kwa kila namna, Paulo alikuwa Myahudi kamili kabisa. Lakini anatofautisha hii na ukuu wa kumfuata Yesu. (Tazama : [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mbwa
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watu wa kale wa Mashariki ya Karibu wallitumia taswira ya mbwa kama ishara ya watu kwa njia isiyo pendeka. Siyo mila zote hutumia "mbwa" kwa njia hii.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Miili iliyofufuka
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Tunafahamu kwa uchache jinsi watu watakavyokuwa mbinguni. Paulo anafundisha kwamba Wakristo watakuwa na miili ya utukufu na hawatawaliwa na dhambi. (Tazama: //en/tw/dict/bible/kt/heaven and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu kwa sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Tuzo
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Paulo anatumia mfano endelevu kuelezea maisha ya Kikristo. Lengo la maisha ya Kikristo ni kujaribu kukuwa kama Kristo hadi mtu afariki dunia. Hatuwezi kulifikia hili lengo kikamilivu lakini ni lazima tujitahidi kulifikia.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Philippians 03:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__