# Wafilipi 03 Maelezo kwa ujumla ## Muundo na Mpangilio Katika mistari 4-7, Paulo anaorodhesha jinsi anavyostahili kuitwa Myahudi mwenye haki. Kwa kila namna, Paulo alikuwa Myahudi kamili kabisa. Lakini anatofautisha hii na ukuu wa kumfuata Yesu. (Tazama : [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]]) ## Dhana muhimu katika sura hii ### Mbwa Watu wa kale wa Mashariki ya Karibu wallitumia taswira ya mbwa kama ishara ya watu kwa njia isiyo pendeka. Siyo mila zote hutumia "mbwa" kwa njia hii. ### Miili iliyofufuka Tunafahamu kwa uchache jinsi watu watakavyokuwa mbinguni. Paulo anafundisha kwamba Wakristo watakuwa na miili ya utukufu na hawatawaliwa na dhambi. (Tazama: //en/tw/dict/bible/kt/heaven and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]]) ## Mifano muhimu kwa sura hii ### Tuzo Paulo anatumia mfano endelevu kuelezea maisha ya Kikristo. Lengo la maisha ya Kikristo ni kujaribu kukuwa kama Kristo hadi mtu afariki dunia. Hatuwezi kulifikia hili lengo kikamilivu lakini ni lazima tujitahidi kulifikia. ## Links: * __[Philippians 03:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__