sw_tn/mrk/09/23.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama uko tayari?
Yesu anakemea wasiwasi wa mtu. Hii swali linaweza kuandikwa tofauti au kama sentensi. "Yesy akamwambia, "Kwanini unasema, "kama uko tayari"? au " Yesu alimwambia, 'Usingelikuwa umesema.
# unaweza
Inaweza kuwa msaada kuongeza maelezo yaliyokosekana. "unaweza kufanya lolote"
# Kila kitu kinawezekana kwa yeyote aaminiye.
Hii inaweza kuandikwa kama dhahania dogo na katika kauli tendaji. "Mungu anaweza kufanya chochote kwa ajili ya watu wanaomwamini yeye"
# kwa yeyote
"kwa yeyote mtu"
# amini
Hii inarejea kwa kumwamini Mungu.
# Nisaidie kutokuamini kwangu
Mwanaume anamuuliza Yesu kumsaidia kushinda kutoamini na kuongezea imani yake. "Nisaidie wakati ninashindwa kuamini" au "Nisaidie kuwa imani zaidi"
# kundi linakimbilia kwao
Hii inamaanisha kuwa watu zaidi walikuwa wanakimbilia kule aliko Yesu na kundi lilikuwa linakuwa kubwa.
# wewe roho bubu na kiziwi
Maneno "bubu" na "kiziwi" yanaweza kufafanuliwa. "Wewe roho chafu, wewe unaye sababisha kijana kutokuwa na uwezo wa kusikia na kuongea."