sw_tn/mrk/08/05.md

12 lines
297 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Akawauliza
"Yesu aliwauliza wanafunzi wake"
# Aliuamuru umati ikae chini.
Hii inaweza kuandikwa kama dondoa ya moja kwa moja. "Yesu aliuamuru umati, 'ukae chini"
# kaa chini
Tumia maneno ya lugha ya kwenu kwa namna watu wanakula kimatamaduni kama hakuna meza, aidha kwa kukaa au kujilaza.