# Akawauliza "Yesu aliwauliza wanafunzi wake" # Aliuamuru umati ikae chini. Hii inaweza kuandikwa kama dondoa ya moja kwa moja. "Yesu aliuamuru umati, 'ukae chini" # kaa chini Tumia maneno ya lugha ya kwenu kwa namna watu wanakula kimatamaduni kama hakuna meza, aidha kwa kukaa au kujilaza.