sw_tn/mrk/07/33.md

44 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alimota nje
"Yesu alimtoa nje"
# akaweka vidole vyake kwenye masikio yake
Yesu anaweka vidole kwenye masikio yake.
# baada ya kutema mate, aligusa ulimi wake
Yesu anatema mate na kisha anagusa ulimi wa mwanaume.
# baada ya kutema
Inaweza kuwa msaada kusema kwamba Yesu alitemea mate vidole vyake.
# alitazama juu mbinguni
Hii inamaanisha kuwa alitaza juu mbinguni, ambako kunahusishwa na eneo analoishi Mungu.
# Efata
Mwandishi anataka msomaji ajue jinsi neno linavyo sikika, Kwa hiyo andika hii kwa kutumia alfabeti za lugha yako na neno lisike karibu na "effatha" kwa kadri uwezavyo.
# Kuvuta pumzi
akavuta pumzi kuonyesha kuwa hakuwa na furaha.
# kusema naye
"alisema na mwanaume"
# masikio yake yalifunguliwa
Hii inamaanisha alikuwa hawezi kusikia. "masikio yake yalifunguliwa na aliweza kusikia"
# Kilichokuwa kimeshikilia ulimi wake kilitolewa.
"Yesu alikitoa kilichokuwa kimeushikilia ulimi wake" au "Yesu aliponya kilichokuwa kimemfanya asiongee vizuri"
# kilichokuwa kimezuia ulimi
"kinachomzuia yeye kuongea " au "usemi wake kuwa na kikwazo"